msingi wa Taifa letu ni upi?

jojupa

New Member
Joined
Dec 8, 2012
Posts
1
Reaction score
0
msingi wa Taifa lolote ndio unaofanya Taifa hilo kuwa na sauti moja,mwelekeo mmoja,Amani,Umoja na mawasiliano.Taifa linapokuwa haliujui msingi wake hushindwa kuutunza,kuulinda na kuutetea nahatimaye hujikuta linapoteza sauti moja,mwelekeo mmoja,Amani,Umoja na mawasiliano. watanzania msingi wa Taifa letu ni upi?
 
Karibu Jf mkuu.
Haya mengine yapeleke majukwaa husika tuyajadili.
 

Karibu sana jamvini, tulia kidogo hayo yanajadiliwa kule jukwaa la Great Thinkers.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…