Pre GE2025 Msingi wa Tume Huru ni katiba mpya bila katiba mpya ni upuuzi kuhangaikia Tume Huru

Pre GE2025 Msingi wa Tume Huru ni katiba mpya bila katiba mpya ni upuuzi kuhangaikia Tume Huru

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Mzee wa Twitter

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2023
Posts
1,483
Reaction score
2,392
Wadau nawasalimu.Watanzania Tumekuwa tunapiga kelele KUDAI KATIBA MPYA. Viongozi badala ya kuendeleza Mchakato wa Kupata KATIBA MPYA wameanzisha Jambo jipya na lisilo na TIJA la Kurekebisha baadhi ya Vifungu kwenye TUME ya UCHAGUZI.

Kimsingi hata kana hatujui Sheria TUME ya UCHAGUZI ni zao la KATIBA MPYA hivyo ilipaswa ipatikane kwanza KATIBA MPYA ndio TUME Huru ya Uchaguzi Ipatikane.

Kitendo cha Kuhangaika kupata TUME HURU ya Uchaguzi wakatu KATIBA iliyoiunda hiyo TUME ni ile ile ni KUPOTEZEANA MUDA.

Wanasiasa hasa wa UPINZANI Kuhangaikia TUME HURU ya UCHAGUZI bila kwanza KATIBA MPYA mnajiingiza kwenye MTEGO wa CCM

Jiulizeni KWANINI CCM haitaki KATIBA MPYA bali inataka Marekebisho ya Vifungu tu kwenye TUME ya UCHAGUZI?
 
Back
Top Bottom