Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
Nina siku kadhaa tangu niache kuogea sabuni. Maji yenyewe haya ya kisima, ukioga unajikuta umepaukaa.
Katika kujaribu jaribu kuboresha hali ya bafuni, nikaanza kuogea backing powder! Weee, the result is awesome.
Sijui tena kama nitarudi kuogea sabuni. Labda kama naoga maji ya mvua. Ila kwa maji haya ya magadi, backing powder ni zaidi ya sabuni...