Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,793
sidhani kama kuna madhara yoyote,maana kama inatumika kwa matumizi ya baadhi ya vyakula na NI ndani ya mwili itasumbuaje matumizi ya nje?Take care.. with time unaweza kulia na ngozi yako hyo.
Baking powder inaweza kusaidia kuboresha ngozi ila sio ndo usubstitute na sabuni unayoogea kilasiku.
Soma soma reviews za watu walopitia unalofanya saivi.
Kwenye matumizi Kilakitu kwa kiasi..baking soda wasn't made for bathing. Mara moja moja sawa huwa inatumika kwa wenye vipele/chunusi nk. Hutoona madhara mwanzo ila in short unaichosha ngozi. Anyways to each his own..sidhani kama kuna madhara yoyote,maana kama inatumika kwa matumizi ya baadhi ya vyakula na NI ndani ya mwili itasumbuaje matumizi ya nje?
sidhani kama kuna madhara yoyote,maana kama inatumika kwa matumizi ya baadhi ya vyakula na NI ndani ya mwili itasumbuaje matumizi ya nje?
mkuu wangu, mimi huwa nakuheshimu balaa, umenishtua sana kuwa unasaka ngozi nyororo......[emoji28]Nina siku kadhaa tangu niache kuogea sabuni. Maji yenyewe haya ya kisima, ukioga unajikuta umepaukaa.
Katika kujaribu jaribu kuboresha hali ya bafuni, nikaanza kuogea backing powder! Weee, the result is awesome.
Sijui tena kama nitarudi kuogea sabuni. Labda kama naoga maji ya mvua. Ila kwa maji haya ya magadi, backing powder ni zaidi ya sabuni...
Sio ivo mkuu. Maji ya chumvi yalikuwa yanaharibu ngozi. Ukioga unajikuta umepauka balaa na ngozi kukatika. Kwa kuwa ndio nishachimba kisima na maji ya bomba hayatoki, sikua na mbadala zaidi ya kuapply Kemia. Sasa naona matokeo chanya!mkuu wangu, mimi huwa nakuheshimu balaa, umenishtua sana kuwa unasaka ngozi nyororo......[emoji28]
Hapo ukiweka amira na ngano tayari ushapata maandaziNina siku kadhaa tangu niache kuogea sabuni. Maji yenyewe haya ya kisima, ukioga unajikuta umepaukaa.
Katika kujaribu jaribu kuboresha hali ya bafuni, nikaanza kuogea backing powder! Weee, the result is awesome.
Sijui tena kama nitarudi kuogea sabuni. Labda kama naoga maji ya mvua. Ila kwa maji haya ya magadi, backing powder ni zaidi ya sabuni...
Lakini wewe ni Me siyo Ke angaliaSio ivo mkuu. Maji ya chumvi yalikuwa yanaharibu ngozi. Ukioga unajikuta umepauka balaa na ngozi kukatika. Kwa kuwa ndio nishachimba kisima na maji ya bomba hayatoki, sikua na mbadala zaidi ya kuapply Kemia. Sasa naona matokeo chanya!
@nichumu nibebike anataka kuwa hiviTake care.. with time unaweza kulia na ngozi yako hyo.
Baking powder inaweza kusaidia kuboresha ngozi ila sio ndo usubstitute na sabuni unayoogea kilasiku.
Soma soma reviews za watu walopitia unalofanya saivi.
Mweeeh! Thats too much for me!@nichumu nibebike anataka kuwa hiviView attachment 858974