Msinunue Namba za magari badala ya Gari lenyewe

Nakubaliana na wewe asilimia 100.

Nina harrier namba C tena zile za mwanzo.

Ila inaendeshwa na mwanamke tena weekend tu.

Haijafikisha km 80,000 toka miaka hiyo.
 
Ila hizi engine za 2NZ na 1NZ za IST zikikushinda basi wewe muharibifu mana ka hujanunua kimeo IST kusema kweli hazina magonjwa ya ovyo nilichukua IST june 2015 namba DE hadi leo namwaga oil tu kikubwa huwa sizidishi kilomita 3000 zoezi kubwa nililofanya ni kubadili betri tu....

Kamechoka bampa tu sababu ya barabara mbovu ila injini kinanda
 
Japo ni asilimia kidogo sana kuagiza gari alafu ukute ni kimeo. Mara nyingi huwa nzima sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri mzuri sana! Halafu hakuna gari imara km namba B na C.
Uimara ni gari kwa kuzingatia service au uimara ni plate number B na C??[emoji849] teh teh[emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mota za kupandisha na kushusha vioo bado hazijaanza kukuzingua?
 
Mara chache sana tena sana kuagiza gari Japan ikaanza kusumbua!

Nasema hivi coz hizi kampuni za minada shindani hasa ( SBT na BEFOWARD) hawataki kuharibu reputation yao ya miaka na miaka! Unless ziwe ni kampuni uchwara..
 
Kwa mtu makini hawezi kubabaisha na D, yeye anaangalia condition ya gari
D nyingi za bei ya kitonga huwa sio nzima. Aidha inazingua umeme au gearbox au ishu yeyote ambayo itakula hela nyingi kuisolve.

Huu ni mfano tu:

Hii gari nimetumiwa inaachiwa kwa 5M! Kwa mtu anayejua gari za kibongo hii gari huwa ina maswala ya kijinga sana ya kuzingua umeme. Saingine ni engine yake 1az huwa inamambo ya kijinga sana nayo hata kwenye Rav 4 kilitime imezoeleka kuzingua.
 
Mara chache sana tena sana kuagiza gari Japan ikaanza kusumbua!

Nasema hivi coz hizi kampuni za minada shindani hasa ( SBT na BEFOWARD) hawataki kuharibu reputation yao ya miaka na miaka! Unless ziwe ni kampuni uchwara..
Hio Landcruiser ilikua na nembo ya beforward, hio passo sikumbuki ilikua imeagizwa kutoka wapi
 
Hahahahah watu wanaamini kwamba gari zote za kutoka Japan ndio gari ambazo ni flawless. Kumbe kuna gari vichomi toka viwandani hata zikifika Japan zinatesa raia na zikishatoka mwendo ni ule ule!
Mimi mwenyewe nilikua najua hivyo ila pia kuna Legacy moja ilitoka huko Japan yenyewe ukifika 100km/h inawasha taa ya check engine
 
Mafundi wa kuokota hao fundi wako unaemwamini hawezi kukufanyia kitu kama icho
Kuna kitendo niliwah kuona kwa macho mteja anafanyiwa na mafundi...
Nasema hivii....fundi wa kibongo si ndugu yako....kua naye makini..

Unaenda na fundi wako,anakonyezwa kuwa baada ya biashara kuna laki 2 yake, unafikiri atakataa? tena unakuta huyo fundi kakaa kijiweni wiki hajaona hata elfu 30...
 
Uimara ni gari kwa kuzingatia service au uimara ni plate number B na C??[emoji849] teh teh[emoji1787][emoji28][emoji28][emoji28]
Kibongo bongo uimara wa gari unaangaliwa namba ya usajili ambayo ni current na Mile age iliyo chini...[emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo maana vijana wetu hawa wakishaajiriwa tu benki, hamalizi miezi sita, utasikia nataka IST namba D..

Wanaliwa hawa..[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kweli aisee huwa wanakonyezwa hao..
 
Hizi Noah naona watu wengi wakilalamika sana...sema tu ndiyo vile watu wanakomaa kibishi....kwa sababu mbongo huwezi kumtenganisha na Toyota..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…