Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
- Thread starter
-
- #21
Maskini hata kutaja waliuawa wangapi imeshindikana... Ukatili ule haujawahi kufanywa hata na wakoloni wa kiingereza waliotutawala.Wale waliochoma Mali za watu lazma watalogwa
Hakuna nafasi ya panyaroad nchiniMaskini hata kutaja waliuawa wangapi imeshindikana... Ukatili ule haujawahi kufanywa hata na wakoloni wa kiingereza waliotutawala.
Idadi ya ñnMaskini hata kutaja waliuawa wangapi imeshindikana... Ukatili ule haujawahi kufanywa hata na wakoloni wa kiingereza waliotutawala.
ujinga huu ndio mmeuingiza sasa hiviMwaka 2015 kuna kiongozi mmoja wa CHADEMA ngazi ya Jimbo alikwenda kwenye Kijiji fulani ndani ya Jimbo lake na kukuta uongozi wa Kijiji hicho ni CHADEMA. Akashangaa Sana.
Alipouliza imekuwaje viongozi wa Kijiji kile kuwa wa CHADEMA, akaambiwa ni wananchi wenyewe waliamua wawe CHADEMA na kupambana kuweka viongozi wa Kijiji toka CHADEMA.
Viongozi wa CHADEMA huwa wanashangazwa na jinsi wananchi wa kawaida kabisa wanavyoijenga CHADEMA.
CHADEMA ni watu wa kawaida kabisa wenye uzalendo kwa nchi yao. Imani yao Iko Kwa CHADEMA na siyo kwa watu wanaoiongoza CHADEMA pekee.
Ndiyo maana hakuna mtu atatoka CHADEMA halafu CHADEMA isiwe CHADEMA.
HakikaMwaka 2015 kuna kiongozi mmoja wa CHADEMA ngazi ya Jimbo alikwenda kwenye Kijiji fulani ndani ya Jimbo lake na kukuta uongozi wa Kijiji hicho ni CHADEMA. Akashangaa Sana.
Alipouliza imekuwaje viongozi wa Kijiji kile kuwa wa CHADEMA, akaambiwa ni wananchi wenyewe waliamua wawe CHADEMA na kupambana kuweka viongozi wa Kijiji toka CHADEMA.
Viongozi wa CHADEMA huwa wanashangazwa na jinsi wananchi wa kawaida kabisa wanavyoijenga CHADEMA.
CHADEMA ni watu wa kawaida kabisa wenye uzalendo kwa nchi yao. Imani yao Iko Kwa CHADEMA na siyo kwa watu wanaoiongoza CHADEMA pekee.
Ndiyo maana hakuna mtu atatoka CHADEMA halafu CHADEMA isiwe CHADEMA.
Humphrey amepatikana?Kama nyie wenyewe mkikosoana ndani ya vikao mnakanyagana mateke. Kwa nin mkiingilia ya wengne msidhibitiwe nyumbu nyie
Humphrey nani au yupi huyo?Humphrey amepatikana?
Hongera kwa mawazo hayoCHADEMA MAFALA TU . CHEKINI MLIVYOIHARIBU NCHI KWA MIHEMKO NA MATUSI YENU . VIJANA WENU WOTE MIDOMO YAO MICHAFU.