Msiokuwa na kadi ya uanachama wa CHADEMA msije mkalaumu baadaye

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Wale vijana wenye ndoto za kuwatumikia wananchi kwa njia ya siasa na uongozi, tumieni muda huu kujipatia kadi ya uanachama wa CHADEMA.

Hii itafanya uanachama wako kuwa na historia ndefu kidogo na kukuwezesha kugombea na kufanikiwa kupata nafasi za uongozi kutoka CDM muda mfupi ujao. Hakikisha una kadi yako na pia hakikisha uanachama wako ni hai.

Usisubiri hadi usiku uingie nenda tawi la karibu nawe uchukue kadi na taarifa zako zitaingizwa CHADEMA DIGITAL na utakuwa mwanzo mzuri kwako kuwatumikia wananchi kupitia nafasi zitakazopatikana kupitia CHADEMA.

Peopleeeeees!
 
Naunga mkono HOJA.

Wananchi wajiunge na CDM maana ni Chama chenye uelekeo wa kuleta Maendeleo.

Bt tunaandika KATIBA mpya soon,

HAKI ya kuchagua na kuchagulika ni ya kikatiba,

MGOMBEA binafsi ni muhimu Ili kupunguza Hila na Changamoto ktk vyama vya siasa ktk kuomba uongozi.
 
Back
Top Bottom