Msiokuwa na kazi na mnajidekezadekeza kitaa huko soma hapa!!!!



you are getting peanuts..hakuna kitu hapo ...
 
Ahsante sana kwa ushauri ndugu mtoa, Lakini bado siwezi kufanya kazi ya kuzungusha vyombo mtaan bora niendelee kuonekana mchagua kazi

nahisi wewe hili hakuwa linakuhusu....ungeipotezea
 
Kazi zipo nyingi sana mazee hapa tz,lakini kinachochelewesha watu kupata kazi hapo ni "TO KEEP PROFESSIONAL",hivyo mtu aweze akafanya kazi yoyote tu,eti ilimradi afanye KAZI haliyakuwa mtu huyo ana professional fulani either ya accounting au mhandishi au mhandisi.Kwa mfano mtu akiwa kondakta njia ya kwenda ubungo kibaha kwenye mabasi ya kosta kwa siku anapata posho ya 20,000 mpaka 30,000, Hivyo kwa mwezi anaweza akapiga kama 600,000 mpaka 900,000 hivi kutegemea na posho yake kwa siku. Hivyo huwezi kusema kwa kua kazi hiyo inalipa kwa kipato, hata mtu mwenye professionaL akafanye hata kama kazi hiyo haiitaji professional kwenye utendaji wake, hivyo inakua vigumu kwa mtu mwenye shahada inayohusu professional fulani eti afanye kazi ya kuzunguka na bidhaa mtaani,yani jua lake mvua yake,kazi ambayo haitumii professional yake,Hivyo angalau mtu anataka apate kazi hata kama sio ya professional yake basi angalau RELATED FIELD PROFESSIONAL. Hivyo ndo apo mtu anakua anachagua kazi,sio kufanyafanya tu kazi yeyote ila kuhamasisha watu wasichoke kutafuta kazi mpaka zipatikane,kwa maana itaoneka kama kuna kazi ya mtumishi wa ndani yaani house girl ikiwa kama inalipa,itatokea mtu aliesoma BCOM/BBA au LLB au ENGINEER kufanya eti tu inalipa labda kwa mwezi 500,000. Hivyo inakua vigumu kufanya kwa kua ya 'TO KEEP PROFESSIONAL' ,NA HAYO TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…