Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Umefika wakati CDM mjitafakali sana - why mnashinda mitandaoni kufuatilia wenzenu?
- Msipomtaja Nape hampati usingizi;
- Msipomtaja January Makamba chakula hakipiti kooni;
- Msipoikashifu CCM mashamba yenu hayaoteshi mbegu na maduka yenu hukosa wateja?