Kabende Msakila
JF-Expert Member
- Oct 7, 2020
- 1,809
- 1,692
Wazee wa MADILI hao.Umefika wakati CDM mjitafakali sana - why mnashinda mitandaoni kufuatilia wenzenu?
- Msipomtaja Nape hampati usingizi;
- Msipomtaja January Makamba chakula hakipiti kooni;
- Msipoikashifu CCM mashamba yenu hayaoteshi mbegu na maduka yenu hukosa wateja?
Umeamka na mapombe machafu kichwani hala fu hujanywa supu. Wapi na lini Chadema wameweka kikao na kuwajadili hao watu? Ni nyie wenyewe huko CCM mnahangaika kuhujumiana halafu mnaisingizia Chadema. Utakuwa na mtindio wa ubongo wewe si bure.Umefika wakati CDM mjitafakali sana - why mnashinda mitandaoni kufuatilia wenzenu?
- Msipomtaja Nape hampati usingizi;
- Msipomtaja January Makamba chakula hakipiti kooni;
- Msipoikashifu CCM mashamba yenu hayaoteshi mbegu na maduka yenu hukosa wateja?