Hakuna jkt awamu ya tatu tumesomewa waraka wa kuhusu mkataba tuliopewa huku jkt na mwisho ni tar 27/9/2013 na wale wa diploma wameshaondoka

Makambi yoooote na wakuu wote wa hayo makambi wako chini ya wizara!
Kauli ya wizara anayeitoa bungeni ni waziri!
Kauli ya waziri imetolewa leo kwa niaba ya wizara!
Baada ya hii kauli ya waziri leo
makambi yote yatapewa waraka mpya!
Ni mtazamo tu msije mkanipiga mawe form six leavers!
Ila si mnajua tanzania kila kitu ni siasa???
-matokeo form four yatapangwa upya, si yalipangwa????
-Ni bora mle nyasi lakini ndege ya raisi itanunuliwa, si ilinunuliwa????
-mtalipa 200 kuvuka kigamboni asiyeweza apige mbizi, si mnalipa?????
Mbele ya siasa za kibongo hadi wataalam husika wanafyata!
So alichokisema mwanasiasa leo tegemeeni hicho!