Msipuuze Swala la Hoja ya FAO la Kujitoa

MPadmire

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2006
Posts
3,957
Reaction score
3,245
Naona kila mwana CCM analikwepa suala la FAO LA kujitoa kama vile ni Jambo dogo. Bwana Humprey Polepole ameongea na waandishi wa habari Mara 2..hii hoja ameiruka.

Mtu amefukuzwa kazi au mkataba umeisha, NSSF (Fao la kukosa Ajira) wanasema ulipwe 33.3 % ya Mshahara kwa miezi 6...baada ya hapo kaa miezi 18 ...ndio ulipwe.

Sheria mpya ya 2018, Raisi Magufuli alisaini, lakini baadae akaja kufuta kikokotoo cha wastaafu pekee...Sasa wafanyakazi wanaofukuzwa kazi sekta binafsi kabla ya umri wa kustaafu wanataabika. Wenye kuona hili wamshauri Magufuli haraka sana na arekebishe maana Katiba imempa mamlaka.

Raisi Magufuli, rudisha FAO LA kujitoaa. watu walipwe pesa zao kwa mkupuo bila masharti ... Hiki ni kipindi cha Kampeni...Kura za Wafanyakazi sekta binafsi ni mamilioni...

Ndugu Bashiru na Pole pole...FAO LA Kujitoa..
 
Badala ya kusaidia wanyonge, CCM inapora haki
 
Hapa ndio unaweza tafasri serikali kama kikundi cha wahuni wachache kupiga pesa za wanyonge. Haiingii akilini kuona unapangiwa muda wa kuchukua pesa zako kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii licha ya kuachishwa kazi au mkataba wako kuisha. Hata muda ukifika unazingushwa sana hadi utoe rushwa.
Hii Zimbabwe ni ngumu sana
 
Back
Top Bottom