Gurudumu JF-Expert Member Joined Feb 5, 2008 Posts 2,349 Reaction score 264 Nov 1, 2010 #1 Jamani nadhani Nia ya kuchelewesha matokeo ya ubunge, wanapata nafasi ya kuchakachua kura za urais. chadema jamani mjitahidi pomoja na kazi ngumu ambayo tayari mnafanya katika ngazi ya ubunge tunataka pia urais
Jamani nadhani Nia ya kuchelewesha matokeo ya ubunge, wanapata nafasi ya kuchakachua kura za urais. chadema jamani mjitahidi pomoja na kazi ngumu ambayo tayari mnafanya katika ngazi ya ubunge tunataka pia urais