Msisimko hamna bila Vuvuzela

Msisimko hamna bila Vuvuzela

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
76,107
Reaction score
160,001
Tukubaliane tu roho safi...
ile kitu imekosekana kwa hii FIFA World Cup ......
ni [HASHTAG]#vuvuzela[/HASHTAG] na theme song ya maana...
sisi kama [HASHTAG]#TeamFrance[/HASHTAG] tumesema!!!!
Tanzania inawakilishwa na [HASHTAG]#Ufaransa[/HASHTAG]
 
Wawakalishi wa Waafrica ni wafaransa.kila la heri France.
 
Vuvuzela wabakinayo hao hao wabaguzi weusi/south afrika..hatuyataki. mabaguzi na mauwaji hayo..shenzi kabisa.
 
Back
Top Bottom