Asantye sana. Nina hili tatizo angalau nimelielewa na kumbe si mimi peke yangu. Tangazo lile la CAPITAL TV hutolewa na ITV limekuwa linanidisturb sana, Nilikuwa naangalia nikidhani ntazoea nilishindwa.Hilo ni tatizo la kisaikolojia liitwalo "trypophobia". Angalia kwenye tovuti ya "trypophobia.com' kwa habari zaidi.
Wakuu vipi kuhusu chanzo na matibabu yake kwa mfano wa ugonjwa katika picha hiyo iliyotolewa?
Mh nimejaribu kuzitolea macho hizo picha zilizotumwa kwamba ntazoea kama mdau mmoja alivyoshauri aisee nimeshindwa, siku yangu ishaharibika hivyo....
Jaman m nkiona vimbegu labda za tikiti maj ukilikata tu vnavyokua vmesmama au vya nyanya uiiii najiskia kuwashwa au vitu vdogo vdogo vlivyojikusanya pamoja vkatokeza juu .!!n hatar.