Msitarajie Chelsea kumfunga Man City leo

Msitarajie Chelsea kumfunga Man City leo

Teko Modise

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
2,331
Reaction score
7,733
Kutokana na tarehe ya leo kuwa haigawanyiki kwa mbili kama ambavyo herufi ya mwanzo ya timu ya Man City haigawanyiki kwa mbili, basi nyota ya Man City leo inang'aa sana na ikichagizwa na muda wa mchezo kuwa ni saa sita na nusu kwa saa za Uingereza basi leo Man City hatofungwa na Chelsea.

Hivyo wadau wa kubet muwe na angalizo kwenye mikeka yenu, msimpe ushindi Chelsea, ni hayo tu
 
Mkuu unaona mbali Sana ,..!


Kuna haya matakataka ya darajan na wachambuzi uchwara kina ambangile wanaichukulia poa city ,...


Keep watching
 
Kwenye zama za Sayansi na teknolojia,hayo matakataka ya utabiri unaonekana punguani tu,

Bado unaishi kwenye fikra za zama za Mawe,

Hata kama Chelsea atafungwa kweli basi sababu haiwezi kua ni huo upuuzi uliouandika hapa.
 
Chelsea anamuua man city mapema tu mtoa mada kama umebet muhindi kala hela yako kiuraini
 
Chief we ni zaidi ya tambi tambi [emoji23]

Kongole kwako


Mimi Leo nawatoa kafara Manchester United ili simba ashinde..

Ukiona man u kafa basi simba kashinda
 
Back
Top Bottom