Ww jamaa ww na ndoto za alinachaSiku hazifanani mkuu
tayari 2-0 in favour of Man City hata kabla ya halftime, tusubiri tuone....Hesabu zimekataa kabisa, wengi wanashauku Man City amfunge Man Utd leo katika Manchester Derby ili atwae ubingwa wa EPL.
Leo kwa mara ya kwanza Mourinho akiwa kama kocha wa Man Utd hatofungwa na Man City pale Etihad. Hivyo itawafanya Guardiola na Man City yake kusubiria mpaka wiki ijayo watakapocheza Na Spurs ndio walau wanaweza wakatangaza Ubingwa.
Wazee wa Mikeka nimewapa angalizo, asiyesikia la Mkuu....
Rekodi hazidanganyi: Mourinho hajawahi kuifunga Newcastle ikiwa St. James Park
Povu ruksa...
Mtoa Mada na Man U yake anafukuza upepo....2nd half lazma Man City waongeze 2 mm ni mshabiki wa Man U lakini hatuchomoki hapa....Hahahahaha mbiliiiii mtoa mada wupoooooo[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ?????
Cc Smart911
Siamini wamerudishaaaaaa lol [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji15] [emoji15] [emoji15]Mtoa Mada na Man U yake anafukuza upepo....2nd half lazma Man City waongeze 2 mm ni mshabiki wa Man U lakini hatuchomoki hapa....

Hahahaa.....nimekenua baada Pogoba Mzee wa Kibleach kuninyanyua kitini...mtoa Mada achukue Sipy juiceSiamini wamerudishaaaaaa lol [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Cc Smart911
We nomaMan U 1- Man City 2.
Pogba atafunga kwa Man U.
Magoli ya Man City yatafungwa Na back Na lingine defending midfielder
We Mzee ni balaa !!!Man U 1- Man City 2.
Pogba atafunga kwa Man U.
Magoli ya Man City yatafungwa Na back Na lingine defending midfielder
Uwe na akiba ya maneno mkuuFirst half ndoioooooooooo inayeyaaa [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Cc Smart911
Una undugu na gwajima ?!Man U 1- Man City 2.
Pogba atafunga kwa Man U.
Magoli ya Man City yatafungwa Na back Na lingine defending midfielder
Duhhhhhhhhhh [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Uwe na akiba ya maneno mkuu