Msitu wa Nongeni uliopo Bigwa Manispaa ya Morogoro hatarini kutoweka

Msitu wa Nongeni uliopo Bigwa Manispaa ya Morogoro hatarini kutoweka

kahawaone

New Member
Joined
Aug 30, 2018
Posts
2
Reaction score
5
Msitu huo umegeka kuwa Shamba la Kuchoma Mkaa, Kuni na Mipini na hivyo kuhatarisha biodiversity iliyopo

Ni eneo pekee lililobakia kwenye Uluguru lenye Low land Miyombo, pia ni nyumbani mwa wanyama Kama nyani, kima, ngedere, mbega, dikidiki hata nyoka na chatu na viumbe wengine.

Ni chanzo cha maji ya Mto Nongeni.

Mamlaka husika wafuatilie jambo hilo.

Msitu 1.jpg
 
Moja ya mikoa ambaya ina misitu / pori ya kunyonya /fyonza hewa ya ukaa ni Morogoro. Utunzaji wa misitu waweza tumika kuingiza fedha nyingi sana - Carbon trading
 
View attachment 3086600
Kifo cha misitu ya mkoa wa Morogoro kitafuatiwa na kifo cha Dar es Salaam kwani maji yote ya mito inayokwenda pwani ikiwemo Ruvu, Wami, Kilombero na Ruaha, inapita au inatokea Morogoro.
 
Morogoro ni moja ya mikoa ambayo uharibifu wa mazingira na mabadiliko ya hali ya hewa yameathiri kwa kiasi kikubwa mazingira. Waharibifu wa kwanza wa mazingira ni vigogo wa serikali na matajiri waliojenga mpaka kwenye hifadhi ya milima ya Uluguru na hakuna wa kuwaambia chochote. Mwaka huu tumeona mafuriko ya kutisha Morogoro na tutegemee maafa zaidi miaka ijayo pamoja na maporomoko ya udongo.
 
Back
Top Bottom