MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Huu mwaka huu...:eyebrows:Ukisema wanini wenzio wauliza watakipata lini....:A S-coffee:
Nami pia nawatakia mapenzi na mahusiano mema mwaka huu wa 2012.
Shukrani MJ1.
Ukisema wanini wenzio wauliza watakipata lini....:A S-coffee:
Nami pia nawatakia mapenzi na mahusiano mema mwaka huu wa 2012.
Shukrani MJ1.
Huu mwaka huu...:eyebrows:
MwanajamiiOne asante sana
Ila mapenzi ni kizunguzungu ni balaa
Yaache yaitwe mapenzi
Mr Rocky when in love just enjoy the moment, its better hata yakiishia njia panda ni bora ukabaki na .... S/he didint deserve my love, it wasnt meant for me kuliko kubaki na .... ningelijua ningemtreat hivi...... hii ya pili itaku-haunt for ever.
Ukisema wanini wenzio wauliza watakipata lini....:A S-coffee:
Nami pia nawatakia mapenzi na mahusiano mema mwaka huu wa 2012.
Shukrani MJ1.
Huu mwaka huu...:eyebrows:
Mbona tutakoma mwaka huu....mpaka mashairi ya taarabu ndani ya house, lol!!! Nimekomaaaa
Jamani Ndahani mimi ninawakumbusha tu kure-candle your love.............tunajisahau sana aisee. Kumbukeni kuwa
Mwanaume kusifia hakukushushii heshima wala uanaume wako. So kuonyesha kuwa unammiss,kumbuka, feel mpenzi wako kunaboresha mapenzi. Tusijejuta kama
LES WANYIKA - Afro - YouTube