Na kwa wale tunaoshabikia nyumba ndogo, tukumbuke
Marijani Raajab - Mwanameka - YouTube
Ni kweli Ndahani il atu uchungu watu husikia pale mmoja anapoamua kukata shauri.Ila toka aimbe mbona ndo nyumba ndogo zimezidi kushika kasi...tena siku hizi mume na mke wote ngoma droo. Hakuna wa afadhali wala msalie mtume wote tunafanana
Kumbukeni wapendwa, mapenzi ni yenu ninyi wawili.....wengine wanatakiwa kukubali maamuzi yenu.