Wahindi ni wazawa hapa Tanzania wasibaguliwe
Mnawateka ninyi
Inakusaidia nini kwa maendeleo yako binafsi, kuteka watu ?!.wambie wasikalili... kila zama na kitabu chake... wataliwa vichwa tu kanjibai!
Inakusaidia nini kwa maendeleo yako binafsi, kuteka watu ?!.
Mi nadhani ni ushamba fulani
Faida yake nini ?! Hebu angalia mtu kama Zakaria kwa tukio lile kosa lake nini ?! Kuuza waliuza wenyewe. Tena kwa idhini ya mahakama. Kosa lake nini?!Kwa upeo wako wewe unaona ni ushamba lakini vaa viatu vya huyo unaye mhisi mshamba...
Samahani umewai kusoma kitabu cha "THE GODFATHER" kimeandikwa na "Mario Puzo "
Faida yake nini ?! Hebu angalia mtu kama Zakaria kwa tukio lile kosa lake nini ?! Kuuza waliuza wenyewe. Tena kwa idhini ya mahakama. Kosa lake nini?!