Li ngunda ngali
JF-Expert Member
- Jun 22, 2023
- 707
- 2,572
Jamaa akasema asante Ccm kwa sauti kubwa.Akili za Ccm
Weeeee!!! Sema ThuuuAma kweli kujaribu siyo kushindwa.
Jana ndugu zangu luku ilikata na kwa bahati pekee nikaamua nijaribu kuingiza namba zangu Nida na nilistaajabu umeme ukawaka!
Tusiogope kujaribu.
Anawaza kuiba tuu!Nyie ndio mnafanya ccm ionekane ina watu wa ajabu
Ccm siku zote ni wezi, ona umeiibia tanescoAma kweli kujaribu siyo kushindwa.
Jana ndugu zangu luku ilikata na kwa bahati pekee nikaamua nijaribu kuingiza namba zangu Nida na nilistaajabu umeme ukawaka!
Tusiogope kujaribu.