Alonso14
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 1,785
- 1,817
............sio kama na act /
No nipo really/
Japo msodoki mdogo ila nauwezo wa ku fail/
............................
Long time ago nilizimikaga na Sepetu wema/
Kisa skendo zaagazet moyo wangu ukamtema/
...........
Moyo nikauweka bondi kwa numbisa mwanaharakati
Ila wote tuna moka hatutodumu mageetoni/
Nilipozimika kwa shunie Lee akapigahoni/
Miss natafuta na miss chaga micharuko ya JF/
Nime move mpaka dar sky nimchane face 2 face/
..........nampenda mama sabrina mtto wake ataniitaje.?/
Kaka au baba baba saby atanionaje?
Hizi ni hisia zangu wala siitaji maswali/
Mimi napenda kuitwa babu je bibi Faiza atakubari?