Msomera pamenoga, Wamasai waendelea kuishukuru Serikali

Msomera pamenoga, Wamasai waendelea kuishukuru Serikali

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
MSOMERA PAMENOGA, WAMASAI WAENDELEA KUISHUKURU SERIKALI

Jamii ya wamasai waliohama Ngorongoro wafurahia Maisha ya Msomera.

Wakazi waliohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga wanaendelea na shughuli zao za kawaida ikiwemo ufugaji katika mazingira bora zaidi.

#SamiaAPP
#KaziIendelee
 
Attachments

  • VID-20240819-WA0011.mp4
    26.8 MB
Nikitaka kuhamia huko nafanyaje?
Je kuna lami?
 
Wanapiga wenyeji ?!

Sijui hasira zao za huko walikotolewa wanataka kuzimalizia kwa watu innocent?!
 
Kweli pamenoga ndio maana wakanyimwa fursa ya kujiandikisha vitambulishoe vya kupiga kura mwakani!!wamenyimwa haki yao!
 
MSOMERA PAMENOGA, WAMASAI WAENDELEA KUISHUKURU SERIKALI

Jamii ya wamasai waliohama Ngorongoro wafurahia Maisha ya Msomera.

Wakazi waliohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga wanaendelea na shughuli zao za kawaida ikiwemo ufugaji katika mazingira bora zaidi.

#SamiaAPP
#KaziIendelee
Ama kweli ukishangaa ya..
Hivi pamoja na kuwahamisha tujuavyo waNasai wanakuwa na mifugo mingi ndio biashara yao.
Hizo mifugo zao nazo wqlihamishiwa na Serikali?
Na je huko Msomera kina malishio au ndio hizo nyumba pekee?
I nashangaa kinyume cha hapo waliohamishiwa Msomera ni waMasai wa mjini wasio na mifugo na sio hao walioko Ngorongoro wafugaji!!!
Mtu ana toka kisiwani uko ana kuja kuuza pori letu
 
Nyie ndio wachokozi mtatandikwa hadi umbeya,kihere here kiwaishe

Sio kweli.
Wachokozi ni nyie.
Umbeya na kihere gani Sasa?

Mnasababisha hadi watu wa watu watembee usiku kwa usiku sababu ya kuwakimbia nyie msiwazuru?
Mnaona ni haki hiyo?
Wakati mmefanya kuwakuta wao wakiwa wenyeji?!
 
Ndiyo maana mmeleta tena issue ile ya wanajeshi ili tuendane na ngoma yenu, hakika mnatuweza. Acha tuendelee kucheza kulingana na mdundo wa ngoma
 
Ingawa wanaogelea baharini kama samaki, Pomboo ni aina ya mamalia, hivyo unavyokula nyama ya Pomboo si kama unavyokula samaki. Nawatakia usiku mwema !
1000011171.jpg
 
Mbona nimeona Clip moja YouTube Wamasai wamesema hawataondoka kwenye Mkutano wao mpaka madai yao yasikilizwe.
 
MSOMERA PAMENOGA, WAMASAI WAENDELEA KUISHUKURU SERIKALI

Jamii ya wamasai waliohama Ngorongoro wafurahia Maisha ya Msomera.

Wakazi waliohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga wanaendelea na shughuli zao za kawaida ikiwemo ufugaji katika mazingira bora zaidi.

#SamiaAPP
#KaziIendelee
Watu wanaohama kwa hiyari yao huwa wanapewa escort ya polisi?
 
Sio kweli.
Wachokozi ni nyie.
Umbeya na kihere gani Sasa?

Mnasababisha hadi watu wa watu watembee usiku kwa usiku sababu ya kuwakimbia nyie msiwazuru?
Mnaona ni haki hiyo?
Wakati mmefanya kuwakuta wao wakiwa wenyeji?!
Basi mngewaacha kwa wanyama mliwapeleka kwa wanadamu yanini kama sio vihere here na bado mtawarudisha wenyewe walipokuwa
 
Sawa lakini ni afadhali mdai wawarejeshe kwenu sababu hiyo ni haki yenu lakini msiue wala kuumiza wananchi ambao ni innocent ambao wanaishi maisha yao hata kabla ya ninyi hamjapigwa exile mazima.

Pambaneni mrejee kwenu kwa amani na sio kuua au kuumiza wananchi ambao hawajawatenda mabaya.

Mnachopitia hatujasababisha sie.
Yanini kutaka hasira zenu mzimalizie kwa watu ambao ni innocent?!

Acheni ukorofi tuishi kwa Uhuru na amani.
 
Back
Top Bottom