Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Ee ipo ni pazuriNikitaka kuhamia huko nafanyaje?
Je kuna lami?
Nyie ndio wachokozi mtatandikwa hadi umbeya,kihere here kiwaisheWanapiga wenyeji ?!
Sijui hasira zao za huko walikotolewa wanataka kuzimalizia kwa watu innocent?!
Ama kweli ukishangaa ya..MSOMERA PAMENOGA, WAMASAI WAENDELEA KUISHUKURU SERIKALI
Jamii ya wamasai waliohama Ngorongoro wafurahia Maisha ya Msomera.
Wakazi waliohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga wanaendelea na shughuli zao za kawaida ikiwemo ufugaji katika mazingira bora zaidi.
#SamiaAPP
#KaziIendelee
Mtu ana toka kisiwani uko ana kuja kuuza pori letu
Nyie ndio wachokozi mtatandikwa hadi umbeya,kihere here kiwaishe
Watu wanaohama kwa hiyari yao huwa wanapewa escort ya polisi?MSOMERA PAMENOGA, WAMASAI WAENDELEA KUISHUKURU SERIKALI
Jamii ya wamasai waliohama Ngorongoro wafurahia Maisha ya Msomera.
Wakazi waliohama kwa hiari yao kutoka katika eneo la Hifadhi ya Ngorongoro kuhamia kijiji cha Msomera, Handeni mkoani Tanga wanaendelea na shughuli zao za kawaida ikiwemo ufugaji katika mazingira bora zaidi.
#SamiaAPP
#KaziIendelee
Basi mngewaacha kwa wanyama mliwapeleka kwa wanadamu yanini kama sio vihere here na bado mtawarudisha wenyewe walipokuwaSio kweli.
Wachokozi ni nyie.
Umbeya na kihere gani Sasa?
Mnasababisha hadi watu wa watu watembee usiku kwa usiku sababu ya kuwakimbia nyie msiwazuru?
Mnaona ni haki hiyo?
Wakati mmefanya kuwakuta wao wakiwa wenyeji?!