MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Ni mweli usemayo MwanaHabari ila kama unasoma vizuri sidhani kama kuna sehemu amesema wajinga ndo wawe wanasiasa! ''''''''''''''
'''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''''' kasi ya wasomi kukimbilia kwenye siasa imekuwa kubwa kiasi cha kutishia profession hii.
Unapoingia kwenye siasa huwezi kuwa na mawazo independent kwa maana kuna miongozo, sera, ilani na mfumo ambao uko established.Msomi mwenye kustahili kuitwa msomi anatakiwa awe na mawazo yake na kuwa tayari kwa paradigm shift kutegemeana na anaamini nini ( conviction).Ili u survive as a politiciam inabidi uwe tayari kutelekeza fikra huru na kuungana na wenzio - CO-OPTATION!
IF U CANT BEAT THEM, JOIN THEM.
............................... Kuna msitari gani unaweza kuuchora kati ya mwanasiasa na msomi kiasi kwamba mmoja akitoka huku na kuelekea kule unasema amevuka msitari wake?....................................
.
Sawa EM,
.....................Kwanza hizo itikadi katika siasa zetu mi sizioni kabisa. Kilichopo ni ushabiki, kama Simba na Yanga......................................
"MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA"
Mkuu EM hayo maisha bora hayapo.
Kuna MAISHA BORA KWA KILA FISADI.
Kwa mtazamo wangu, wataalamu wetu wasomi wanapoingia katika siasa huwa wanasahau kanuni na miongozo ya Elimu yao.
Wengi hujikuta hawaelewiki tena kama na wataalamu wasomi.
Hata wakiandaa kwa mfano, bajeti za nchi, huziweka katika sura ya kisiasa.Tutafanikiwa kwa mwenendo huu kweli?
😱
THERE IS POLITICAL SCIENCE AMBAYO INAWASOMI...KWA HIYO WANASIASA WANATAKIWA KUWA WASOMI HASA....
Kwa mtazamo wangu, wataalamu wetu wasomi wanapoingia katika siasa huwa wanasahau kanuni na miongozo ya Elimu yao.
Wengi hujikuta hawaelewiki tena kama na wataalamu wasomi.
Hata wakiandaa kwa mfano, bajeti za nchi, huziweka katika sura ya kisiasa.Tutafanikiwa kwa mwenendo huu kweli?
Wasomi wengi wapandeo kujiingiza kwenye siasa, hususan Tz, inabidi uwaangalie mara mbilimbili kwani usomi wao mara nyingi aidha ni wa kukremu (yaani wazuri wa nadharia ya kuhamisha vitabu vichwani mwao, na siyo utumiaji wa hiyo nadharia kwenye maisha ya kila siku) tu, au kuna aina fulani ya ukihiyo kwenye historia ya maisha au masomo yao
Sasa ndio wakti wa wasomi na vijana kuingia katika siasa na kuchana na vizee vilivyo stahafu kazi kisha kuja kwenye siasa. hawa ndio wale wanaolala Bungeni.