jamaa mmoja kavamia semina ya wasomi iliyofanyika ubungo plaza jumamosi iliyopita,waliohudhuria wakaanza kujitambulisha
wa 1;naitwa anna toka sua nasoma agriculture science mwaka wa kwanza
wa 2:naitwa scola niko udsm nasoma public relation mwaka wa tatu
wa 3:mimi ni alex niko udom nasoma computer science mwaka wa pili
ikafika zamu ya jamaa huku akiwa na wasiwasi akasema
naitwa wille niko tanesco nasoma mita mwaka wa nne.....wutu wote haaaaaaaaaaaa.....!!