Msomi ni nani

MAGATA

Member
Joined
Jan 28, 2012
Posts
34
Reaction score
6
Jamani mimi na tatizo na maana ya mtu msomi, mtu kuitwa msomi anatakiwa awe na kiwango gani cha elimu? maana kijijini kwetu ukijua kusoma na kuandika tu wewe tayari msomi.

=====
 
Jamani mi na tatizo na maana ya mtu msomi, mtu kuitwa msomi anatakiwa awe na kiwango gani cha elimu? maana kijijini kwetu ukijua kusoma na kuandika tu we tayari msomi.

Kwa upande wangu mimi nadhani mtu yoyote ambaye anajua kusoma na kuandika ni msomi
 
Hawa ndio wanaharibu hapa jf utani. Wengine tushazoea kabla ya kulala tucheke kidogo kupitia hapa watu wanaandika uj**ga.
Aha shit ngoja nilale mie.
 
Jamani mi na tatizo na maana ya mtu msomi, mtu kuitwa msomi anatakiwa awe na kiwango gani cha elimu? maana kijijini kwetu ukijua kusoma na kuandika tu we tayari msomi.

Yeah! true that!
 
Ni mwenye ualaza tu, mfano wa wasomi ni Prof. Sarungi, Kinana n.k
 
Inategemea mtu ana kiwango gani cha uelewa otherwise kwa baadhi ya vijiji msomi ni yeyote anyejua kusoma
 
Aliye na kiwango cha kuweza kuishi vizuri na watu wa aina, tabia na mazingira yote.
 
Nadhani kuwa msomi ni mtu yeyote aliyepata elim yoyote ile japo elimu yenyewe imegawanyika ktk level tofauti kama elim ya msingi, sekondari, stashahada au shahada na nyinginezo nyingi
 
Ni yule anayeitumia elimu yake na kukubaliwa na jamii
 
Ni mtu yeyote aliye elimika...tanzania ni zaidi ya uijuavyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…