msomi wa udom

msomi wa udom

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,657
Reaction score
3,679
Nasikia jamaa aliyejenga jengo lililobomoka dar alisoma udsm....?
 
Una maana mhandisi wa jengo au mmiliki wa jengo?
 
Mkuu aka2030,

Awali ya yote karibu JF!Suala la kuporomoka kwa jengo haihusiana na usomi wa huyo mtu.Kwa kawaida engineer anatoa plan na kisha ujenzi unaendelezwa na mafundi.Sasa wakati mwingine mafundi hubania vitu kama saruji,nondo n.k katika ujenzi na hii hupelekea uhafifu wa jengo.Sasa sio kila mara engineer awepo pale kuhakikisha mifuko kadha ya saruji imekorogwa na kuchanganywa kwa kiwango husika.Sasa hili huwa tatizo na hatimaye hutokea nyufa na mwisho jengo kuporomoka.kwa hiyo wakati mwingine unatakiwa kufikiria kwa ufanisi na si kukurupuka.
 
title na content haziendani!
Pili udsm haina uhusiano na uzembe wa mtu pale anapocheka kazi
 
kichwa cha habari UDOM.maelezo ndani ya habari UDSM mzima wewe?
 
mtoa maada haujielewi naona inaelekea hata hujui hata haki zako aisee.
 
Pia tambua katika kila hatua ya ujenzi lazima Engineer apite kukagua, kama kuna kitu kipo wrong inabidi apige stop hadi iyo sehemu ilekebishwe au ibomolewe na ujenzi uanze upya, na endapo hafanyi ivyo wa kulaumiwa ni yeye

Back
Top Bottom