Msomo ya fashion designing & beuaty nafasi 3 ni bure kabisa

Joined
Mar 5, 2012
Posts
90
Reaction score
23
MASOMO- BURE KWA WENYE SIFA.


- USHONAJI NA FASHION DESIGNING


TRUE ROAD COLLEGE OF DESIGNING, TAILORING AND BEAUTY

-Inapenda kutangaza kwamba inatoa fursa/nafasi 3 Kwa mafunzo ya kushona na Fashion designing ktk chuo chake kilichopo DSM, TABATA DA WEST. Kama kuna mtu unamfahamu tafadhali mjulishe, na kutakuwa na mchujo.

Vigezo na Masharti
1. Awe ni Mwanamke au Binti anayetoka mazingira Magumu(asiye na kipato)
2. Awe ni Mkazi wa Tabata, Ubungo, Vingunguti au Buruguni-au popote Dar es Salaam kikubwa aweze kujigharamia nauli kama anakaa mbali
3. Kama ni wa mkoani- Awe na sehemu ya kulala/kufikia kwa hapa Dar es Salaam
Atajifunza kushona, fashion designing pamoja na kushona nguo za send-ff, Kitchen Party pamoja na Harusi.
LENGO: Kuinuia na kubadilisha maisha ya wanawake wanaoishi ktk mazingira magumu.
Kwa Taarifa: Piga 0715 680773/0684 048421


KWA WANAFUNZI WENGINE,


Je Unajua kushona kawaida lakini unataka kujua fashion designing?
Je hujui kabisa kushona unataka kujifunza kuanzia mwanzo kabisa?
Je unajua fashion desgning lakini huwezi Kushona Mashela, Nguo za Send off, Kitchen Part na Suti?
Je unapenda kujifunza mambo ya salon? Make up? Kufunga vitambaa kichwani nk.
JIBU LIPO.......Ongeza kipato!
TRUE ROAD COLLEGE OF FASHION DESIGNING, TAILORING AND BEAUTY
TABATA DA WEST- DAR ES SALAAM.
USAJILI Unaendelea na masomo yameanza leo rasmi.---13 APRIL, 2015
PIGA: 0715 680773/0684 048421

DA ZETU

FASHION & USHONAJI Beginners-200,000 kwa mwezi(Husoma kwa miezi miwili)

Intermediate-250,000(Huchukua mwezi mmoja tu)

Master class-400,000(Huchukua wiki sita)

UREMBO NA SALON Salon anayeanza kabisa-250,000 (mwezi na nusu, Anyeongeza ujuzi kwenye mambo ya salon-200,000 (Huchukua mwezi mmoja)

Utaalamu zaidi-Maharusi, Make up zote, kufunga vitambaa-make up 350,000
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…