bulajunior
JF-Expert Member
- Oct 14, 2024
- 302
- 434
Nimekuwa nikijiuliza muda mwingi mbona kama ni ajira kuna wengine wameajiriwa, wanawake wanahamishia stress zao kwenye kazi zao.
Leo nimeshuhudia walimu wa kike wanamshambulia binti (mwanafunzi) kwa maneno makali tena wote walikuwa kama wanne ivi akijibu huku anaulizwa huku au anaulizwa maswali matatu kwa mara moja kisa alivaa mtandio weekend moja maana yeye anakaa boarding.
Basi ndo limekuwa jambo kweli wengine wanamtishia afukuzwe shule tu mara wanamshika kichwa wanadai kasuka na huyu ni binti wa kiislamu hata akisuka nywele kafunika, binti akawa analia sana.
Lakini nikiangalia hawa walimu ni single mother na wengine waume zao wanakaa mbali na hiyo sasa ni asubuhi tu saa mbili watu wameamka na hilo tu na kuna kijamaa nacho kinachangia kwenye hiyo cynario. Sasa jamani kweli hivi ndio kuongea na watoto wetu ndio ivi?