Paroko2024
Member
- Oct 20, 2023
- 5
- 6
Wakuu mbalimbali JF imekuwa msaada sana kutafta changamoto kiwasemea wasokuwa na sauti.
Kuna hii hapa, " bunge lililopita Mhe waziri wa utumishi Simbachawene, aliona kilio cha maelfu ya watumishi ambao wapo mikoa tofauti na wenzi wao, na akafafanua imechangia kuzorota Kwa usitawi wa jamii, magonjwa, migogoro nk.
Lakini mpaka Leo mwongozo juu ya hili kimya, ukienda ofsi za mwajiri wanakwambia hatujapata maelekezo, Mimi kwakweli ndoa ipo msalabani, mke wangu daily ananivuriga, utulivu kazini unaporomoka Kila kukicha.