Bado tumaini lipo na usifikie hiyo hatua kwakuwa bado una mtaji wa afya njema.. Soma mabandiko ya waliowahi kuanguka na leo wamesimama imara sana.. Just know that HILI NALO LITAPITA“Wakati mwingine unafika sehemu maisha yanakuonesha sura yake halisi. Nimekuwa nikipambana kuinusuru biashara yangu bila mafanikio, rasmi nimefilisika Sina Msaada Kwa mtu yoyote, hakuna mtu mbele yangu ambae namtumainia kama Msaada Kwa kipindi hiki.
Nina familia ya mtoto mke na mtoto mmoja bahati nzuri tu unga WA kula siku kadhaa upo ndani. Napitia msongo WA mawazo usio elezeka.
Kama kuna mtu yeyote anaweza kusaidia kwa njia yoyote, nipo tayari kushirikiana au hata kufanya kazi ya muda mfupi ili nipate hela ya kulipia Kodi ninapo ishi.
Naishi geita mjini mtaa wa shilabela
Bado tumaini lipo na usifikie hiyo hatua kwakuwa bado una mtaji wa afya njema.. Soma mabandiko ya waliowahi kuanguka na leo wamesimama imara sana.. Just know that HILI NALO LITAPITA
Mkuu nitagi kwenye hayo mabandikoBado tumaini lipo na usifikie hiyo hatua kwakuwa bado una mtaji wa afya njema.. Soma mabandiko ya waliowahi kuanguka na leo wamesimama imara sana.. Just know that HILI NALO LITAPITA