Msosi wa rais

we vipi? Mhaya hawezi kuacha kula senene hata kama ana pesa kumzidi bill gates. Si swala la pesa ni la kiroho.
 
Hili swali ni la uchokozi kwelikweli,lakini pia ni la kifalsafa zaidi,mie nafikiri washauri wa raisi wa maswala ya misosi wanatakiwa kumshauri vizuri ,maana kuna vyakula vingine ukila vinakufanya usitamani kukaa nyumbani,yaani wewe utatamani kusafiri tu tena nje ya nchi bila kujali matatizo ya watu wako uliowacha nyumbani..niliwahi kuambiwa zamani nilipokuwa mdogo kwamba nikila miguu ya kuku nitakuwa situlii nyumbani...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…