PeeWee
JF-Expert Member
- Sep 9, 2024
- 410
- 1,118
Habari za wakati huu wana JF, natumai mko salama na mwaendelea na mapambano ya kujitafutia mkate wa kila siku.
Niende moja kwa moja kwenye mada yangu.
Mimi nipo jijini Mwanza na nimekuja kwenu hapa jukwaani kuweza kupata msaada wa kupata ideas za biashara katika jiji hili la Mwanza. Kiwango cha mtaji ni TZS 3 million.
Natangiliza shukrani kwenu nyote.
Asanteni.