Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,268
- 7,119
Kongozi mzuri hasusi bali hupigana kuleta mabadiliko. Huyu jamaa yetu siyo kiongozi bali ni mtu wa kupokea maagizo.Tupe ukweli maana hii kitu nimeikuta inajadiliwa pahala.
Kuwa ulipima mzani ukaona hawa jamaa sio wa kufanya nao kazi. Yaani CCM hii.
Kwa nini uliacha kujiuzuru na ukaensldele na hawa watu?
Ili hali inasemekana ulishawajua kuwa hafawai!
Kwani Polepole hakuwa na kiapo?Mifumo ya serikali si mifumo ya bavichaa au chadomo kwamba ukitoka huku unashikiwa akili unaenda kuropoka..
Mh makamu wa rais mstaafu yupo chini ya kiapo...
Mh waziri mkuu mstaafu aliyepeperusha bendera huko chadomo aliwaambia chochote kuhusu serikali ambayo ni ya siri?
Kama wewe unasali Kwa uaminifu , Islamic au Christian huwezi fanya Kazi Na hicho kikundi, Na ukifanikiwa kufanya MDA mwingi utakuwa huna furahaTupe ukweli maana hii kitu nimeikuta inajadiliwa pahala.
Kuwa ulipima mzani ukaona hawa jamaa sio wa kufanya nao kazi. Yaani CCM hii.
Kwa nini uliacha kujiuzuru na ukaensldele na hawa watu?
Ili hali inasemekana ulishawajua kuwa hafawai!
Wapi ulipomsikia pole² akitoka Siri za Chama au serikali?Kwani Polepole hakuwa na kiapo?
Au ni kweli kuwa ukiwa kijani akili unaacha nje unaingia ukiwa kopo tupu?Mifumo ya serikali si mifumo ya bavichaa au chadomo kwamba ukitoka huku unashikiwa akili unaenda kuropoka..
Mh makamu wa rais mstaafu yupo chini ya kiapo...
Mh waziri mkuu mstaafu aliyepeperusha bendera huko chadomo aliwaambia chochote kuhusu serikali ambayo ni ya siri?
Hauna macho na masikio?Wapi ulipomsikia pole² akitoka Siri za Chama au serikali?
Wewe ndio ulikuwa haumsikilizi vizuri alikuwa anasema ana viapo kuna mambo hawezi kusema, rejea kesi ya Membe kufukuzwa uanachama hakusema ila alisema mkienda kwenye muhtasari wa kikao/faili pale ofisi za CCM mtajua.Hauna macho na masikio?