Msukuma awajibu January na Nape asema kumkosoa hayati Magufuli ni nongwa kwa sababu wabunge wamekula viapo vya utii

Yaani jamaa ni mjinga sana, hajui hata kiapo alichokula ni kiapo cha nini? Kwanza kumjadili au kumlaumu mtu kama huyo ni ukosefu wa akili na upumbavu, nakiri na mimi nimefanya upumbavu.
Mkuu sio yeye bali "mjani..." wawezaje muamini mtu aliyekuwa akimuabudu EL na mwisho wa siku akamtusi kana kwamba si yeye aliyetolewa shamba, akakogeshwa, akavishwa, akapakwa mafuta, akatolewa tongotongo... akaishia kumtusi EL baada ya kuona wa kabila yake yuko mezani...
 
rais aliyepo alikuwa makamu wa mwendazake.

kama walimtii mwendazake,walimtii na watamtii na huyu pia.dharau kwa mwenda zake ni dharau kwa aliyepo pia,ila kwa namna ambayo mjinga hawezi elewa.
Swali ni rahisi tu mkuu, huo utii unaelekezwa kwa rais aliyeko madarakani au kwa mwendazake? Jitulize, vuta pumzi, hata ukiweza kunywa maji, alafu utoe jibu!
 
Naona hii awamu ya Samia itaisha bahati mbaya kama ilivyokuja kibahati mbaya, huko bungeni mpaka wamalize kubishana hii mipasho yao waanze kujadili mambo ya msingi itakuwa ni September 2025.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hakuna kiapo cha utiifu kwa Rais wqnachokula Wabunge. Kiapo cha aina hiyo kilifutwa 1995, enzi za intervention ya Lamwai, Marando, Pius Msekwa na Cleopa David Msuya, Karimjee, Dar es Salaam.
 
basi hajielewi.
 
Nyie ndo huwa mkiingia anga za watu mnakula za kutosha, kumtii Mungu ni kwny bible ila kwny katiba ipo kumtii mkuu wako. Kama unajua kwmb hakuna mkubwa zaid ya Mungu bs achana na kaz zinazokulazimisha kula kiapo.
Umenena vizuri mkuu
 
Upuuzi. Unaijua elimu yangu. Endelea kukesha mitandaoni na kutabiri yasiyojiri mpaka uzeeke huna chochote.
Mimi sibishani na nyie wa darasa la nne!!! Nawaona kama majambazi tu mnaotumiwa kama condom!!
 
Mimi sio wa darasa la nne, mie ni matawi ya juu huku niliko nakula bata tu; wewe na wenzio hamuwezi kufika huku mpaka mfe!! Nendeni kwenye nyungu zenu na kunywa dawa ya BUBIJI aliyowaachia boss wenu!
Mavi ya kunguni mtu aliyeenda shule ataandika upuuzi huu. Nyie ndiyo watandia matukio na waluoshindwa kufikia malengo. Mmebaki kubweka tu.
 
It is a pity mnaendekeza hizi takataka za darasa la saba! These are rejects kwa watu wanaojielewa. Hawapashwi kuwa kwenye jumba kama lile,.... these re rubbishes
 
Mavi ya kunguni mtu aliyeenda shule ataandika upuuzi huu. Nyie ndiyo watandia matukio na waluoshindwa kufikia malengo. Mmebaki kubweka tu.
Nyie mmefikia malengo yenu ya kujenga NYUNGU na kunywa bubiji!! Sasa huu ni utawala wa sheria tuone mtajificha wapi nyie majizi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…