Karne hii ya 21 bado wanafanya hivyo jamani. sidhaniuzaifu wa wanaume wa ntuzu ni twanike twapee=wasichana weupe.anaweza kutoa ng'ombe mpaka 80 zilizo shiba.teh!teh!
uzaifu wa wanaume wa ntuzu ni twanike twapee=wasichana weupe.anaweza kutoa ng'ombe mpaka 80 zilizo shiba.teh!teh!
Mpuuzi sana wewe unajuwa wote humu wasukuma? watu kama wewe ndio nawatafuta niwatie adabu. Masaburi tu hayo.

Nimependa sana hiki kichekesho japo mimi si msukuma mimi mndali, nimefurahi sana naamini ntalala pia salama.
WAKUSOMA:Unastyle ya aina yake. huna tofauti na yule anayesemb Mi napita tu" Ni style yako
USHAURI😛UNGUZA /ONDOKA KABISA UKALI WA MANENO SI BUSARA KUWEKA MANENO YA MA*SI KWENYE JAMII HÍI.
kweli kabisa Watu hawakuwa na tabia ya kutukana ila huyu kidudu mtu yule mdudu wa kwenye kisamvu tangu kaja na haka katabia kake wamewafanya watu wawe jasiri na kutukana hovyo. Siku akija kupigwa mtu ban aliyosababisha huyu nyonda nitawachukia mods na jf kwa ujumla.maana hizi vurugu wanaziona sana mpaka mie nahic ametumwa na mod flani kuja kuchafua jukwaa au kuwa sababishia watu ban.nina mwaka sasa nikiwa member ndan ya jf sijawahi kumtukana mtu ila kwa huyu catapilla kanichefua mno.