Msuli kubana inatokana na nini? Nimewahi kuadhirika sana

Msulibasi

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2014
Posts
5,947
Reaction score
7,939
katika gem mara msuli wa mguu ama mbavu unatight na huwezi kuendelea au ku move yaani ikikutokea wewe hutatamani tena kutongoza demu utaaadhirika sana -sababu ni nini .yaani unahangaika kama katuni wakati mhusika nae ameanza kupata moto soo sana sipendi kukumbuka
 
Mkiambiwa Acheni Kupiga Gitaa La Solo Huwa Mnakuja Na Kuanza Kubisha, Gitaa La Solo Mwachieni Diblo Dibala au Fundi Wangu Mwingine Wa KikongoMani Maarufu Kama Darik Moko.
 
una elimu gani maana uandishi wako ni jipu lililoiva linahitaji kutumbuliwa
 
Mkiambiwa Acheni Kupiga Gitaa La Solo Huwa Mnakuja Na Kuanza Kubisha, Gitaa La Solo Mwachieni Diblo Dibala au Fundi Wangu Mwingine Wa KikongoMani Maarufu Kama Darik Moko.

fafanua kidogo mkuu kwa faida ya umma wote wa JF na nje ya JF.

ni ombi tu lakini.
 
Na Labda HUJAELEWA Wapi? Hii Ndio Shida Ya Kusoma Shule Za Kata Ambapo Athari Zake Ndio Kama Hizi kwa "KINABO" Kama Huyu Aliyebobea.
 
kumbe nilikuwa najadiliana na POPOMA!!.

haya asante kwa jibu lako lililojaa U-POPOMA uliotukuka.

CC nifah
 
Last edited by a moderator:
Mkiambiwa Acheni Kupiga Gitaa La Solo Huwa Mnakuja Na Kuanza Kubisha, Gitaa La Solo Mwachieni Diblo Dibala au Fundi Wangu Mwingine Wa KikongoMani Maarufu Kama Darik Moko.
Aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…