Mohamed Said
JF-Expert Member
- Nov 2, 2008
- 21,967
- 32,074
- Thread starter
-
- #41
Daniel ahsante sana.Mzee Mohammed usihuzunike sana Mwanadamu hubadilika, Wana usalama wetu wapo kazini kuangalia the main source Muda utatoa majibu sahihi Tuwe na subira tu japo ni Sad sana
Pamoja na kutahadharisha kuwa kile kilikuwa ni kizazi kilichoshuhudia na hiki ni kizazi kinachosimuliwa (ndo maana kuna mmoja kasema ni hadithi) nakuwekea picha ya shemeji yako niliyoichukua na kisimu changu cha mchina tarehe 17 january 2017 cape town. Uzee haupigi hodView attachment 474634
Ni kweli mkuu,nyumba hiyo anaishi jamaa wa kiarabu na familia yake,kwa nje kuna vijana wanauza vitanda vya chuma.Mwaka jana Joachim Chisano na maafisa wa usalama wabTanzania na Msumbiji waliitembelea nyumba hiyo.Mwelewa,
Jana rafiki yangu mmoja kanipigia simu baada ya kusoma hii post.
Kanambia nifike Chang'ombe Maduka Mawili nielekee Sigara Club
nitakutana na mtaa unaitwa Maji Maji.
Hapo kuna nyumba ya National Housing ina kibao nje kinasema
kuwa nyumba hiyo akiishi Marcelino Dos Santos.
Jumbe unaweza kunipikia picha hiyo nyumba?Ni kweli mkuu,nyumba hiyo anaishi jamaa wa kiarabu na familia yake,kwa nje kuna vijana wanauza vitanda vya chuma.Mwaka jana Joachim Chisano na maafisa wa usalama wabTanzania na Msumbiji waliitembelea nyumba hiyo.
Kwa sasa sipo Dar es salaam,labda mpaka nitakapo rudi mzee wangu.Jumbe unaweza kunipikia picha hiyo nyumba?
Jumbe...ahsante sana.Kwa sasa sipo Dar es salaam,labda mpaka nitakapo rudi mzee wangu.
Doh....daah nmejitahid kusoma lakin nmeshindwa vip hakuna audio
Huyu ni mvivu tu mzee....angejua hao waliotengeza electronic program za kunasa hizo audios ni mabingwa wa kusoma maandishi angetambua thamani ya kusoma....Issawema tosheka na kusoma...
Acha uvivu was kufikiri....hiyo ni flashback ya matukio ya kweli, unawezaje kuita ni utunzi wa tamthilia???Hongera kwa utunzi mzuri wa tamthilia