Msumbiji: Kambi ya Wapiganaji yasambaratishwa

Msumbiji: Kambi ya Wapiganaji yasambaratishwa

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Kambi ya wapiganaji wa ASWJ ya Chitama Jimbo la Cabo Delgado imesambaratishwa katika operasheni ya SADC Msumbiji (SAMIM)

Magaidi 17 wameuawa. Askari 1 aliokuwa katika operasheni hiyo amefariki na 3 wamejeruhiwa

Pia katika Operasheni ya Septemba 26, SAMIM wameiangusha kambi ya Messalo ambapo gaidi mmoja ameuawa na mwingine anayesadikika kuwa mwalimu wao anashikiliwa kwa mahojiano

IMG_20210927_203432_955.jpg
 
Hivi hizi taarifa zina walakini gani? yaani tarehe 26 kambi imesambatishwa, gaidi mmoja kauwawa na mwingine "anayesemekana" ni mwalimu wao kakamatwa. Hii kambi ilikuwa na watu wangapi ? mtu ukisikia kambi basi unatarajia idadi flan ya watu, isijekuwa wengine ni wapitanjia tu wanabandikwa majina.
 
View attachment 1954920
Taarifa njema Sana

Sent from my Nokia 3.2 using JamiiForums mobile app
 
Mr Slim sio mtu wa mchezo mchezo [emoji3]vipi wale wapasua matofari mbona siwasikii huko?
Kitu ambacho hujui Slim hayupo kwenye samim na aliyeongoza hii ni Tanzania
 
Hivi hizi taarifa zina walakini gani? yaani tarehe 26 kambi imesambatishwa, gaidi mmoja kauwawa na mwingine "anayesemekana" ni mwalimu wao kakamatwa. Hii kambi ilikuwa na watu wangapi ? mtu ukisikia kambi basi unatarajia idadi flan ya watu, isijekuwa wengine ni wapitanjia tu wanabandikwa majina.
Sasa tuamini lipi tuache lipi? Jana jioni kuna taarifa zilisema jeshi LA Rwanda lilipoteza wanajeshi 16 au 26 na maafisa 3 wenye vyeo vya juu jeshini na wengine kujeruhiwa kwenye mapambano na waasi/ISIS!!

Hii inadhilisha kwamba tunao waita magaidi wa kislaam hawana mchezo ie si lelemama and most likely wala si magaidi bali wana Msumbiji wanao pingana na Serikali yao wanashirikiana na baadhi ya RAIA kaskazini mwa Msumbiji pamoja na wageni ili kuifanya nchi hisitawalike kirahisi. Tusije tukajidanganya kwamba RENAMO na Dharakama walisambaratika kabisa.
 
Waislamu bana[emoji23][emoji23][emoji23] wanatumikia mabeberu kwa uaminifu wakiamini wanampigania allah[emoji23][emoji23][emoji23]
Ujinga ni mzigo Sana ndugu yangu, huko mashariki ya Kati wanagombanishwa kizembe tuu.
 
Back
Top Bottom