Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Ohoooo...! Natabiri jinsi utavyoshambuliwa kama mpira wa kona vile [emoji28]Mr Slim sio mtu wa mchezo mchezo [emoji3]vipi wale wapasua matofari mbona siwasikii huko?
Mtoto mdogo huyo Kwa Tanzania.sisi tushazisaidia nchi nyingi Sana sasa hivi tunajenga nchi na kulinda nchi yetu Ila hata hivyo jeshi letu lipo huko.Mr Slim sio mtu wa mchezo mchezo [emoji3]vipi wale wapasua matofari mbona siwasikii huko?
Na amefanya ziara juzi huko.....kuna kitu nyanza kuaminiMr Slim sio mtu wa mchezo mchezo [emoji3]vipi wale wapasua matofari mbona siwasikii huko?
Una chuki na JW, Hilo jeshi la SADC pia ndani yake Kuna vikosi maalum vya Jeshi la Tanzania, Kama hujuiMr Slim sio mtu wa mchezo mchezo [emoji3]vipi wale wapasua matofari mbona siwasikii huko?
Mr Slim sio mtu wa mchezo mchezovipi wale wapasua matofari mbona
Hii operation ilikua chin ya tz.....Mr Slim sio mtu wa mchezo mchezo [emoji3]vipi wale wapasua matofari mbona siwasikii huko?
Wapo tena wanazuia kila kitu huko bandarini. Usiidharau nchi yetu. Iko vizuri mnoMr Slim sio mtu wa mchezo mchezo [emoji3]vipi wale wapasua matofari mbona siwasikii huko?
Taarifa njema SanaKambi ya wapiganaji wa ASWJ ya Chitama Jimbo la Cabo Delgado imesambaratishwa katika operasheni ya SADC Msumbiji (SAMIM)
Magaidi 17 wameuawa. Askari 1 aliokuwa katika operasheni hiyo amefariki na 3 wamejeruhiwa
Pia katika Operasheni ya Septemba 26, SAMIM wameiangusha kambi ya Messalo ambapo gaidi mmoja ameuawa na mwingine anayesadikika kuwa mwalimu wao anashikiliwa kwa mahojiano
View attachment 1954920
Acha sifa ndg,huyo 1 aliyefariki ni askari wa Tanzania,kule kuna majeshi ya SADC ikiwemo Tanzania na sio Rwanda pekee yake.Mr Slim sio mtu wa mchezo mchezo [emoji3]vipi wale wapasua matofari mbona siwasikii huko?
Akumbuke pia Tanzania kitovu cha kushukikia masuala ya ulinziUna chuki na JW, Hilo jeshi la SADC pia ndani yake Kuna vikosi maalum vya Jeshi la Tanzania, Kama hujui
Kitu ambacho hujui Slim hayupo kwenye samim na aliyeongoza hii ni TanzaniaMr Slim sio mtu wa mchezo mchezo [emoji3]vipi wale wapasua matofari mbona siwasikii huko?
Sasa tuamini lipi tuache lipi? Jana jioni kuna taarifa zilisema jeshi LA Rwanda lilipoteza wanajeshi 16 au 26 na maafisa 3 wenye vyeo vya juu jeshini na wengine kujeruhiwa kwenye mapambano na waasi/ISIS!!Hivi hizi taarifa zina walakini gani? yaani tarehe 26 kambi imesambatishwa, gaidi mmoja kauwawa na mwingine "anayesemekana" ni mwalimu wao kakamatwa. Hii kambi ilikuwa na watu wangapi ? mtu ukisikia kambi basi unatarajia idadi flan ya watu, isijekuwa wengine ni wapitanjia tu wanabandikwa majina.
Nenda mahakamaniMr Slim sio mtu wa mchezo mchezo [emoji3]vipi wale wapasua matofari mbona siwasikii huko?
sasa hicho kikosi cha SADC ni kina nani unavyodhani?Mr Slim sio mtu wa mchezo mchezo [emoji3]vipi wale wapasua matofari mbona siwasikii huko?
Ujinga ni mzigo Sana ndugu yangu, huko mashariki ya Kati wanagombanishwa kizembe tuu.Waislamu bana[emoji23][emoji23][emoji23] wanatumikia mabeberu kwa uaminifu wakiamini wanampigania allah[emoji23][emoji23][emoji23]
Yawezekana anajua vizuri sana lakini kuna trend ya nyuzi za kuisifia Rwanda na Slim wao. Wanafanya haya yote kwa makusudi wakijua wamelenga niniUna chuki na JW, Hilo jeshi la SADC pia ndani yake Kuna vikosi maalum vya Jeshi la Tanzania, Kama hujui