beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi amewatoa kwenye nafasi zao Mawaziri sita wakiwemo Waziri wa Fedha na Waziri wa Rasilimali za Madini na Nishati. Ni Mabadiliko makubwa ya pili kufanywa katika Baraza la Mawaziri katika miezi ya hivi karibuni
Ofisi ya Rais haijatoa ufafanuzi wowote wa Mawaziri hao kuondolewa kazini, na haijaweka wazi ni lini nafasi zilizoachwa wazi zitajazwa. Novemba Mwaka 2021, Rais Nyusi aliwabadilisha Mawaziri wa Ulinzi na Mambo ya Ndani
=======
Mozambican President Filipe Nyusi has sacked six ministers, including the finance, in a major reshuffle announced by the president's office.
The announcement was made in a statement that did not offer any reasons for the dismissal of the ministers or give indications of when the positions would be filled.
It is the second major reorganisation of the cabinet in recent months.
Others sacked included the ministers of mineral resources and energy, fisheries, Inland waters and fisheries and public works, housing and water resources.
Political observers in the country said they were not surprised by the sackings.
In November, President Nyusi sacked and replaced the ministers of defence and interior
Source: BBC