Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.
Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo.
Nchi hizo 3 zinapanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Nakala Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe na kisha Hadi Mji Mkuu wa Zambia Lusaka.
Njia hiyo Mpya ya reli itapunguza umbali wa Zambia kuifikia Bandari ya Dar hivyo zaidi ya asilimia 90% ya mzigo wa Zambia utapitia Bandari za Msumbiji za Nakala na Beira.
Kwa hatua hiyo itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Tanzania ambayo Bandari ya Dar ilikuwa inategemea zaidi mzigo wa Nchi ya Congo DRC na Zambia kama wateja Wakuu huko Nchi zingine zikiongesea ongezea shehena.
Endapo Zambia itaondoka rasmi kuwa mteja wa Tanzania sio tuu itapunguza mzigo wa Bandari ya Dar Bali itaua kabisa biashara ya Malori ya mizigo Tanzania ambapo Kwa sehemu kubwa yatahamia Nchi hizo za Zambia,Malawi na Msumbiji na zingine za Afrika Ili kuendelea na Biashara ya Usafirishaji.
Serikali ihakikishe mipango yetu yote Kwa Sasa iwe inalenga kuikumbatia DRC kuanzia Kusini Hadi Kaskazini maana ndio mteja pekee ambae walau jiografia inatupa nafasi.
Serikali ifanye yafuatayo:
1. Lazima tujihusishe na kutafuta amani directly ndani ya DRC Ikibidi Kwa gharama zetu.
2. Lazima Sgr na Barabara zivuke na kuifikia DRC (Bukavu,Goma, Kinshasa, Kindu)
3. Lazima tuwashawishi Zambia na DRC tujenge reli kutoka Tunduma-Kasama-Lubumbashi-Likasi na Kutoka Makambako-Mtwara Port.
4. Lazima Sgr itoke Mpanda-Karema na Kigoma
5. Lazima tutafute pesa za kujenga meli kubwa za mizigo na abiaria ndani ya Ziwa Viktoria na pia tujenge Bandari,Barabara na reli upande wa DRC hata Kwa kuwakomesha pesa
6.Lazima tuwape DRC,Rwanda na Burundi Ardhi za Bure za kumhudumia mizigo Yao Pwani.
My Take
Tusipofanya hayo tunaenda kupoteza hata hiyo DRC Kwa Kenya, Angola na Mozambique na ikizingatiwa DRC inajenga Bandari na reli kuunganisha na Zambia na Angola.
Washindani Wetu wa Kenya wao Wana uhakika na Uganda, South Sudan, Northern DRC na somehow Ethiopia na Rwanda.
Tuachane na Mpango wa kujenga reli ya Mtwara Corridor hiyo Haina maana tena imeshakufa,Nguvu zote zielekezwe Kujenga kioande Cha kutoka Makambako -Mtwara.
angola nao wamejenga reli kutoka lubumbashi hadi Lobito tayari shehena ya kwanza ya shaba kwenda us imeshawasili bandarini salama, halafu sisi tuko busy na wamasai wa ngorongoro
Bora hilo litekelezwe haraka.
Hapa nchini hata mabilioni yenyewe yanayopatikana wanagawiwa machawa halafu chenji ndo zinapelekwa TARURA zijenge barabara za vumbi huku vyoo vya shule tunasubiri misaada ya COVID-19
angola nao wamejenga reli kutoka lubumbashi hadi Lobito tayari shehena ya kwanza ya shaba kwenda us imeshawasili bandarini salama, halafu sisi tuko busy na wamasai wa ngorongoro
angola nao wamejenga reli kutoka lubumbashi hadi Lobito tayari shehena ya kwanza ya shaba kwenda us imeshawasili bandarini salama, halafu sisi tuko busy na wamasai wa ngorongoro
Ndio mana nasema na sisi tujenge kutoka Tunduma hadi Lubumbashi Ili tugawane mzigo,japo kule ni short route ila biashara kubwa Iko upande wa Nchi za Indian Ocean kuliko Nchi za Atlantic Ocean.

Tanzania matahira ni wengi .
Wapo viongozi matahira, wapo wananchi matahira wa kutosha.
Kuna mambo yanahitaji akili ndogo tu kuandaa future ya Watanzania lakini hatuoni viongozi wakitumia hizo fursa kwaajili ya Tanzania ya kesho .
Sasa unatumiaje matrilioni kwa nchi maskini kama hii kujenga reli ya mwendokasi ya kubeba watu kwenda Dodoma?
Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.
Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo.
Nchi hizo 3 zinapanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Nakala Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe na kisha Hadi Mji Mkuu wa Zambia Lusaka.
Njia hiyo Mpya ya reli itapunguza umbali wa Zambia kuifikia Bandari ya Dar hivyo zaidi ya asilimia 90% ya mzigo wa Zambia utapitia Bandari za Msumbiji za Nakala na Beira.
Kwa hatua hiyo itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Tanzania ambayo Bandari ya Dar ilikuwa inategemea zaidi mzigo wa Nchi ya Congo DRC na Zambia kama wateja Wakuu huko Nchi zingine zikiongesea ongezea shehena.
Endapo Zambia itaondoka rasmi kuwa mteja wa Tanzania sio tuu itapunguza mzigo wa Bandari ya Dar Bali itaua kabisa biashara ya Malori ya mizigo Tanzania ambapo Kwa sehemu kubwa yatahamia Nchi hizo za Zambia,Malawi na Msumbiji na zingine za Afrika Ili kuendelea na Biashara ya Usafirishaji.
Serikali ihakikishe mipango yetu yote Kwa Sasa iwe inalenga kuikumbatia DRC kuanzia Kusini Hadi Kaskazini maana ndio mteja pekee ambae walau jiografia inatupa nafasi.
Serikali ifanye yafuatayo
1.Lazima tujihusishe na kutafuta amani directly ndani ya DRC Ikibidi Kwa gharama zetu.
2.Lazima Sgr na Barabara zivuke na kuifikia DRC(Bukavu,Goma,Kinshasa,Kindu)
3.Lazima tuwashawishi Zambia na DRC tujenge reli kutoka Tunduma-Kasama-Lubumbashi-Likasi na Kutoka Makambako-Mtwara Port.
4.Lazima Sgr itoke Mpanda-Karema na Kigoma
5.Lazima tutafute pesa za kujenga meli kubwa za mizigo na abiaria ndani ya Ziwa Viktoria na pia tujenge Bandari,Barabara na reli upande wa DRC hata Kwa kuwakomesha pesa
6.Lazima tuwape DRC,Rwanda na Burundi Ardhi za Bure za kumhudumia mizigo Yao Pwani.
My Take
Tusipofanya hayo tunaenda kupoteza hata hiyo DRC Kwa Kenya,Angola na Mozambique na ikizingatiwa DRC inajenga Bandari na reli kuunganisha na Zambia na Angola.
Washindani Wetu wa Kenya wao Wana uhakika na Uganda,South Sudan, Northern DRC na somehow Ethiopia na Rwanda.
Tuachane na Mpango wa kujenga reli ya Mtwara Corridor hiyo Haina maana tena imeshakufa,Nguvu zote zielekezwe Kujenga kioande Cha kutoka Makambako -Mtwara.
Nchi ya Mozambique imeamua kuteka biashara ya Usafirishaji Kwa njia ya Maji Kwa Nchi zote za Sadc na kuiachia Tanzania maumivu makubwa.
Katika kutekeleza Hilo, Mozambique wameamua kuikodisha Bandari Yao ya Nacala Kwa Nchi ya Malawi na Zambia ambapo wataitumia Kwa kipindi Cha miaka 100 ijayo.
Nchi hizo 3 zinapanga kujenga miundombinu ya reli kutoka Nakala Hadi Mji Mkuu wa Malawi Lilongwe na kisha Hadi Mji Mkuu wa Zambia Lusaka.
Njia hiyo Mpya ya reli itapunguza umbali wa Zambia kuifikia Bandari ya Dar hivyo zaidi ya asilimia 90% ya mzigo wa Zambia utapitia Bandari za Msumbiji za Nakala na Beira.
Kwa hatua hiyo itakuwa ni pigo kubwa sana kwa Tanzania ambayo Bandari ya Dar ilikuwa inategemea zaidi mzigo wa Nchi ya Congo DRC na Zambia kama wateja Wakuu huko Nchi zingine zikiongesea ongezea shehena.
Endapo Zambia itaondoka rasmi kuwa mteja wa Tanzania sio tuu itapunguza mzigo wa Bandari ya Dar Bali itaua kabisa biashara ya Malori ya mizigo Tanzania ambapo Kwa sehemu kubwa yatahamia Nchi hizo za Zambia,Malawi na Msumbiji na zingine za Afrika Ili kuendelea na Biashara ya Usafirishaji. View: https://youtu.be/ZTgeuT_T6s0?si=9SA5Q5kinC2LLd3N
Ushauri,;
Serikali ihakikishe mipango yetu yote Kwa Sasa iwe inalenga kuikumbatia DRC kuanzia Kusini Hadi Kaskazini maana ndio mteja pekee ambae walau jiografia inatupa nafasi.
Serikali ifanye yafuatayo
1.Lazima tujihusishe na kutafuta amani directly ndani ya DRC Ikibidi Kwa gharama zetu.
2.Lazima Sgr na Barabara zivuke na kuifikia DRC(Bukavu,Goma,Kinshasa,Kindu)
3.Lazima tuwashawishi Zambia na DRC tujenge reli kutoka Tunduma-Kasama-Lubumbashi-Likasi na Kutoka Makambako-Mtwara Port.
4.Lazima Sgr itoke Mpanda-Karema na Kigoma
5.Lazima tutafute pesa za kujenga meli kubwa za mizigo na abiaria ndani ya Ziwa Viktoria na pia tujenge Bandari,Barabara na reli upande wa DRC hata Kwa kuwakomesha pesa
6.Lazima tuwape DRC,Rwanda na Burundi Ardhi za Bure za kumhudumia mizigo Yao Pwani.
My Take
Tusipofanya hayo tunaenda kupoteza hata hiyo DRC Kwa Kenya,Angola na Mozambique na ikizingatiwa DRC inajenga Bandari na reli kuunganisha na Zambia na Angola.
Washindani Wetu wa Kenya wao Wana uhakika na Uganda,South Sudan, Northern DRC na somehow Ethiopia na Rwanda.
Tuachane na Mpango wa kujenga reli ya Mtwara Corridor hiyo Haina maana tena imeshakufa,Nguvu zote zielekezwe Kujenga kioande Cha kutoka Makambako -Mtwara.
Umefuatilia na kuijua mipango ya DRC? Kwa DRC punde tu tutayasikia maumivu mengine.
Hili la Zambia nitashangaa kama Serikali italiona limekuja as a surprise sababu Zambia baada ya kuona hatusomeki walianza project kubwa ya barabara wakishirikiana na Mozambique. Barabara hiyo ilikuwa inaiunganisha nchi yao na Mozambique.
Kwa viherehere vyetu tuliiona hiyo threat tukajitahidi kuistua serikali kuhusu projects zinazoendelea Zambia na Congo DRC na Mozambique tukaambiwa “serikali ipo macho na ipo imara” na zaidi “kuna mambo mengi mazuri hatuyajui”, tukasema inshallah, hii yote ni sababu we are no bodies
Ndio mana nasema na sisi tujenge kutoka Tunduma hadi Lubumbashi Ili tugawane mzigo,japo kule ni short route ila biashara kubwa Iko upande wa Nchi za Indian Ocean kuliko Nchi za Atlantic Ocean.
Umefuatilia na kuijua mipango ya DRC? Kwa DRC punde tu tutayasikia maumivu mengine.
Hili la Zambia nitashangaa kama Serikali italiona limekuja as a surprise sababu Zambia baa ya kuona hatusomeki walianza project kubwa ya barabara wakishirikiana na Mozambique. Barabara hiyo ilikuwa inaiunganisha nchi yao na Mozambique.
Kwa viherehere vyetu tuliiona hiyo threat tukajitahidi kuistua serikali kuhusu projects zinazoendelea Zambia na Congo DRC na Mozambique tukaambiwa “serikali ipo macho na ipo imara” na zaidi “kuna mambo mengi mazuri hatuyajui”, tukasema inshallah, hii yote ni sababu we are no bodies
Kila siku nawaambia hii Nchi Ina shida kubwa sana ya watu wa planning na Wachumi wanaofikiria Kimkakati kujua kipi kianze na kifanyike wapi na kipi kifuate.
Mpaka Sasa hizo Barabara unazotaja zikikamilika tuu,Zambia tunampoteza