mumagoma
Senior Member
- Jan 15, 2014
- 186
- 95
Wiki lililopita kunekuwepo na trend ya habari kwenye media kuwepo na msururu mkubwa wa magari yakitikea sehemu mbalimbali kurejea arusha na Kilimanjaro
Watanzania walio na fikra ya kuona sentimeter moja mbele badala ya kuona mbali wanadai kuwa eti watu wa Kilimanjaro ni wachapa kazi eti wameendana na speed ya awamu ya tano,wao kwao vyuma vimelegea havijakaza,je ni kweli msururu wa magari iwe ni indicator kuwa uchumi Kwa webzetu wachaga awamu hii ni safi...??
Toa maoni