Akili za Mchumi wa UD hiyo a.k.a Jk ndo alisemaga ati Foleni ya magari mjini ni 1 kati ya indicator za Economic development,hahah
Kula like wape maneno agiza kill naja lipa [emoji23]Vyasaka akili zenu ni za kimasikini sana!
Tufanye bei ya gari ni milion 8 au 10.
Hapo mtu anamudu maisha mjini na familia.
Ameweka mafuta anaenda kwao Moshi kufanya sherehe.
Bado anarudi mjini kuendelea na biashara yake.
Huyu bado ni masikini?
Kati ya aliye na gari na mwenye baiskeli, ni yupi tajiri; mathalani, gari inapata service na ipo katika hali nzuri?
Huyu ni masikini?
Sisi ni wachapa kazi; si bure, na kwa mila zetu, mtu asiyetafuta pesa ni kishoia na atadharaulika, na hakuna Mchagga anayependa hilo limtokee iwe wa kiume au wa kike kazi ni kazi kwenda mbele.
Vyasaka mlie tuu, uchumi wa nchi upo mikononi mwetu.
Kama upo Dar jiulize ni kwa nini foleni haipo kwa wakati huu, na imehamia Arusha na Moshi?
Jiulize kwanini biashara Dar imedoda wakati huu?
Jibu ni kwamba Wachagga tupo kwetu.
Kula like wape maneno agiza kill naja lipa [emoji23]
Mkuu jivunie Udengereko wako banaAkili za Mchumi wa UD hiyo a.k.a Jk ndo alisemaga ati Foleni ya magari mjini ni 1 kati ya indicator za Economic development,hahah
Sawa mkuu usisahau na a pair of ballsMkuu jivunie Udengereko wako bana
UKWELI HALI YA PESA IMEIMARIKA SANA TOFAUTI NA MWAKA JANA KWA SOTE SASA KUKAA TUNAMLAUMU MAGUFURI SI SAWASawa mkuu usisahau na a pair of balls
KASKAZINI ITABAKI KUWA KASKAZINI TU HUKU VYUMA VIMELEGEA MNO HADI TUNAOMBA ANGALAU SPANNER NA SCREW DRIVER TUKAZE ANGALAU KIDOGOWiki lililopita kunekuwepo na trend ya habari kwenye media kuwepo na msururu mkubwa wa magari yakitikea sehemu mbalimbali kurejea arusha na Kilimanjaro
Watanzania walio na fikra ya kuona sentimeter moja mbele badala ya kuona mbali wanadai kuwa eti watu wa Kilimanjaro ni wachapa kazi eti wameendana na speed ya awamu ya tano,wao kwao vyuma vimelegea havijakaza,je ni kweli msururu wa magari iwe ni indicator kuwa uchumi Kwa webzetu wachaga awamu hii ni safi...??
Toa maoni
KASKAZINI ITABAKI KUWA KASKAZINI TU HUKU VYUMA VIMELEGEA MNO HADI TUNAOMBA ANGALAU SPANNER NA SCREW DRIVER TUKAZE ANGALAU KIDOGO
Kishoia (hili neno Kilimanjaro ni Kiboko cha fimbo nyembamba kwenye nyama ya sikio lako)
Mkuu jivunie Udengereko wako bana
KASKAZINI ITABAKI KUWA KASKAZINI TU HUKU VYUMA VIMELEGEA MNO HADI TUNAOMBA ANGALAU SPANNER NA SCREW DRIVER TUKAZE ANGALAU KIDOGO
SAS WANANCHI WA KSAIKAZINI HAKIKISHENI MNTAUMIA MDA HUU KUPANGA MIKAKATI YA KUHAKIKISHA CHADEMA MWAKA HUU 2018-20 TUNAKAMATA DOLAA.PESA TUNAZO HIVYO TUWEKE UTARATIIBU WAUCHANGIA AMPENI MBAIMBALI KIMYAKIMYA ILA CHADEMA ISONGE MBELE..TUHAKIKISHE MPANGO WETU WAKUHAKIKISHA VITI MAALUMU NA NAFASI ZINGINE ZINAENDA KWA MTU ANAYETOKEA HUKO INGAWA ANAWEZA KUWA ANAISHI SUMBAWANGA NK.KAMA TULIVYOFANYA KWA MINJA MOROGORO.KWA KUFANYA HIVI CHAMA KITAKUWA MWAKA HYUU2018
Wachaga ni level nyingine bwana! hata umbane vip yeye anasaka manoti kwa plan B hawezi filisika mileleWiki lililopita kunekuwepo na trend ya habari kwenye media kuwepo na msururu mkubwa wa magari yakitikea sehemu mbalimbali kurejea arusha na Kilimanjaro
Watanzania walio na fikra ya kuona sentimeter moja mbele badala ya kuona mbali wanadai kuwa eti watu wa Kilimanjaro ni wachapa kazi eti wameendana na speed ya awamu ya tano,wao kwao vyuma vimelegea havijakaza,je ni kweli msururu wa magari iwe ni indicator kuwa uchumi Kwa webzetu wachaga awamu hii ni safi...??
Toa maoni