Msusi ananuka...

Ananuka nini?...na kwanini haukumwambia mwenyewe pale pale na badala yake unakuja kumsema hapa jamvini?
Sasa hapo mwenzio atajirekebisha vipi wakati wewe hujamwambia ili ajue tatizo lake?

It's not that easy guys.

Body odor is a very sensitive subject.

How do you even go about telling someone that they stink without offending them?

I really think it's one of those things that are (really) easier said than done.

I just can't bring myself to see anyone telling someone that their breath smells bad or that their armpits stink.

And here we are talking about down there? Arguably the most sensitive part of the female body?

I would love to know how some of you all would tactfully go about telling that to someone whom you think their box has a foul smell.......

Let me also acknowledge that putting someone on blast about it (though no names were mentioned here) is kind of not cool.

But this is real life stuff. So it ought to be talked about especially about ways to do it without offending anyone.
 

Nn hivi katika all your women uliwahi kupata uliemkubali kabisa kwa usafi?
 
hiyo harufu AINA YA NG'ONDA NI TOLEO JIPYA NINI hahhah mkuu dadavua ikoje

hiyo ni zaidi ya panya,maana kuna jamaa yangu alikula hiyo ya ng'onda kaapa haji kurudia maishani maana alinunua OMO ya nusu kilo kila akinawa harufu haitoki mpaka omo ikaisha yote teh!
 
Nn hivi katika all your women uliwahi kupata uliemkubali kabisa kwa usafi?

Duh! Big Bossman premise ya swali lako ni kana kwamba nishawahi kuwa na wanawake kiiiibaooo, 'a harem'.

Anyhow, usafi hata kwangu ni an ongoing process. For the most part I am my own worst critic.

Because it is an ongoing process, that means that there will always be some room for improvement.

Kwa sababu hiyo, kama mimi mwenyewe sijikubali kabisa ni vigumu sana kumkubali kabisa mtu mwingine katika idara hiyo.

Lakini, wapo ambao wali exceed my expectations (especially given the circumstances they lived in). That's not to say I've had a whole bunch of them, either:smile-big:.

You probably have me beat when it comes to just the sheer number......
 
hiyo ni zaidi ya panya,maana kuna jamaa yangu alikula hiyo ya ng'onda kaapa haji kurudia maishani maana alinunua OMO ya nusu kilo kila akinawa harufu haitoki mpaka omo ikaisha yote teh!

sasa kinachonukanni nini mkuuu
 

20 more or less? hivi unajua average NBA player wakati Fulani walisema ni 3000?
 
20 more or less? hivi unajua average NBA player wakati Fulani walisema ni 3000?

Kuna wakati sijui ni Wilt Chamberlain au Kareem Abdul-Jabar...not sure which one but it's one of the two alisema kwamba keshawahi kumega wachuchu 20,000.

So in context, hata hiyo average ya 3,000 ni cha mtoto ukilinganisha na 20k.

But how does one even keep count of that many? Do they keep binders full of names or something?
 

that was wilt.....naona anahesabu idadi ya siku kwa mwaka na average yake kwa wiki hivi.. so kama kila siku ni new girl..for five years ni 360 times 5....
 
Ungemwambia tu akaibadilishe labda mwenzio kaikojolea,Kibaya zaidi labda niileanayoipenda zaidi "sunday best" so kuibadilisha inakuwa ngumu.
 

Anyway, what can we do to make someone with a problem understand that there is really a problem with her/him without offencive context?
 
Wanajamii wenzangu leo yamenikuta makubwa,nimeenda saluni kusuka yeboyebo ya Kilimanjaro(wadada wanaelewa staili ya msuko huu)nilisubiria zamu yangu ya kusukwa ilipofika nikakaa chini ndipo akaanza kusuka nywele za mbele apo hali ya hewa ilikuwa safi alipifika nywele za nyuma ndipo aliponambia nimgeukie yani kichwa changu kiangalie maeneo ya siri,kugeuka tu.... harufu niliyosikia n zaid ya dampo niliona aibu kumwambia cz kulikuwa na watu wengi ikabidi nisingizie naenda kuongea na simu nje ndipo nilipoondoka nmeshindwa kuvumilia nimeona bora niseme tujue wadada hawa tunawasaidiaje
 
inaelekea limekuwa janga sasa,kuna saluni pia wife alikuwa anaendaga kusuka lakini ghafla akakata mguu na kisa aliniambia ni harufu ya uvundo ya msusi.
 
Haikuoshwa vizuri hiyo papuchi yake rudi umwambie aioshe na detto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…