kuna gazeti moja nimesoma kuhusiana na safari ya T. Stars Algeria, limeandika msafara una wachezaji 20 na viongozi 8. hivi ni akina nani( vyeo vyao) ambao ndio hao viongozi 8? nadhani kuna umuhimu pia wa kupunguza msururu wa viongozi wengine ambao wanakuwa kama ''watalii'' tu na kupunguza gharama.
Kocha mkuu, kocha msaidizi na kocha wa makipa, daktari wa timu, meneja wa timu, msemaji, kiongozi wa msafara kiongozi na kiongozi wa chama/timu...kuna gazeti moja nimesoma kuhusiana na safari ya T. Stars Algeria, limeandika msafara una wachezaji 20 na viongozi 8. hivi ni akina nani( vyeo vyao) ambao ndio hao viongozi 8? nadhani kuna umuhimu pia wa kupunguza msururu wa viongozi wengine ambao wanakuwa kama ''watalii'' tu na kupunguza gharama.