py thon
JF-Expert Member
- Sep 11, 2016
- 2,476
- 4,448
Mchezaji anayeng'ara kwasasa hivi Taifa stars Simon msuva aliifungia bao timu yake ya el jadida walipokutana na miamba na mabingwa wa CAF klabu ya Raja Casablanca.
Katika pambano hilo klabu ya Casablanca iliibuka na ushindi wa goli 2-1 huku bao pekee la el jadida likiwekwa kimiani na Msuva.
Casablanca imechukua ubingwa wa afrika mara mbili katika miaka hii 3 hivyo msuva kuwafunga ni fahari na inawezekana msimu ujao akasajiliwa na miamba hao.
Mabingwa wa kombe la Afrika wydad Casablanca
Simon msuva