Msuva atakataa awalalisha na viatu mabingwa wa kombe la CAf

py thon

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2016
Posts
2,476
Reaction score
4,448
Mchezaji anayeng'ara kwasasa hivi Taifa stars Simon msuva aliifungia bao timu yake ya el jadida walipokutana na miamba na mabingwa wa CAF klabu ya Raja Casablanca.

Katika pambano hilo klabu ya Casablanca iliibuka na ushindi wa goli 2-1 huku bao pekee la el jadida likiwekwa kimiani na Msuva.


Casablanca imechukua ubingwa wa afrika mara mbili katika miaka hii 3 hivyo msuva kuwafunga ni fahari na inawezekana msimu ujao akasajiliwa na miamba hao.




Mabingwa wa kombe la Afrika wydad Casablanca




Simon msuva
 
Jamani ata kama ndo uzalendo basi tuwe tunatumia lugha nzuri kwenye kupamba kwetu, sasa msuva awalalisha na viatu kivipi ilhali team pinzani imeshinda 2-1
 
Jamani ata kama ndo uzalendo basi tuwe tunatumia lugha nzuri kwenye kupamba kwetu, sasa msuva awalalisha na viatu kivipi ilhali team pinzani imeshinda 2-1
ndio maana soka letu haliendelei kamwe
 
Kafunga ndio tena goli zuli, mpira ulikuwa una amba ambaa

Ila sio kusema kawalalisha viatu

Achen kupamba uongo

Wakumsifia ni yule aliyetoka mbal na ule mpira na kumpa msuva
 
Daaaaaah, kweli Bongo kuna watu wana PhD za roho mbaya, kusifiwa tu Msuva mtu anatokwa povuuuuuuu!
 
Tuanche unywanywa.. kiukweli jamaa ana jitahidi, hana kipaji kikubwa kulinganisha na mafundi kibao tuliobahatika kuwa na, kina boban, chuji n.k ila ana njaa ya mafanikio, anaonesha ana nia na tamaa ya kufika sehem fulan.. anafaa kupewa pongezi kwa kile anachokifanya katika career yake..
 
Ila hapo kwenye kuwalaza na viatu sijui..

Muandishi aheri ungeandika amewafunga moja kati ya magwiji wa soka afrika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…